Genesis 43:24

24 aMsimamizi akawapeleka wale watu katika nyumba ya Yosefu, akawapa maji ya kunawa miguu na kuwapa punda wao majani.
Copyright information for SwhNEN